๐ป Premium pickups built for Luxury, Performance & Durability
๐ Tanzania Base|Serving East Africa & Central
๐ฅ Hot Deals|Order|Fleets Supply
โ๏ธ0626274169
Mguu wangu unaoza, nakufa huku najiona, naomba msaada maana nimekata tamaa. Naitwa Pascal James Mayalla, mkazi wa Kahama Shinyanga. Mwaka 2023 nilipata ajali ya pikipiki nikiwa Zanzibar nikielekea kazini. Kwa bahati mbaya nikavunjika mguu mara 2. Nikatibiwa Zanzibar na kuwekewa vyuma. Nilipopata nafuu niliomba kurudi nyumbani Kahama maana Zanzibar sikuwa na ndugu.
Hali yangu ikatengemaa kidogo na mwaka 2024 nikarudi Zanzibar kuendelea na kazi. Lakini kwa bahati mbaya mwaka jana, chuma nilichowekewa kilichomoka screw hivyo kikatoka sehemu husika na kuchoma nyama kwa ndani na kutengeneza kidonda kipya.
Nilipata maumivu makali sana. Nikaenda hospitali kikatolewa na kuwekwa kingine. Lakini Oktoba 2025 nilipata mtikisiko uliosababisha chuma nilichowekewa mguuni kukatika na kusababisha mfupa kuachana na mguu kupinda. Niliomba nirudishwe nyumbani Kahama. Hata hivyo sikuweza kwenda hospitali kutokana na kukosa pesa za matibabu.
Hali yangu inazidi kuwa mbaya kwani sehemu ya chuma kilichokatika imesababisha infection kwenye mfupa na kuendeleza kidonda kisichopona (Chronic Osteomyelitis).
Nimeelezwa kuwa hali hii inaweza kunisababishia kansa inayotokana na kidonda cha muda mrefu kisichopona (Squamous Cell Carcinoma).
Matibabu ninayohitaji kwa sasa ni operation ya kunyoosha mguu, kusafisha kidonda na kuweka chuma kingine. Gharama ni TZS 2.8M tu lakini nimelala kitandani mwaka mzima kwa kushindwa kumudu gharama hiyo. Naomba msaada niweze kupata matibabu mapema ili niepuke risk ya kupata saratani.
_____
Kama unaguswa kuokoa maisha ya ndugu Pascal Mayalla tuma sadaka yako kwenda M-PESA #0752581983, YAS #0719744954, CRDB #0150633516500, NMB #24110012109 Gifted Hearts Foundation | RudishaTabasamu | LetLoveLead
Mkuu wa Mkoa kawafikia watengezaji wa Juice za miwa!!
Oyaa huyu jamaa amejuaje, last week nilikunywa juice ya miwa nikaendeshq wiki nzimaa!!
Hawa watu hawakuagi clean sometimes ๐๐ซด
Rihanna opened up about why sheโs so invested in A$AP Rocky and chose to love and build a life with him despite being richer than him.
โThe first time Rocky told me about his background, I actually shed tears because he had a much more difficult childhood than I did. I admired his spirit and how he hustled his way to fame without relying on anyoneโs help, and thatโs the kind of man I want as the father of my children.โ
She also admitted that one of the reasons she wants to have many children with him is because neither of them grew up in large families, so they want to build the big family they never had together.
Naomba yanga wasisahau mke wake jah huyu Mzee na kama wanamjengea wamjengee ata nyumba mke wake alie baki huyu Mzee aliifanya yanga ipwendwe na vijana wakati ilikuwa timu ya wazee R.I.P MZEE WA SHOTI Mzee mpili ๐ข๐ข๐๐