@v_completemotors
FURAHIA OFA ZETU
🗞USAJILI WA GARI LAKO
🗞SERVICES YA KWANZA BURE
🗞BIMA MWAKA MZIMA
🗞 TRIANGLE AND FIRE EXTINGUISHER
KWA MAGAR MAZURI YENYE PUNGUZO NA OFA KABAMBE, TEMBELEA OFISI ZETU ZILIZOPO DSM
TUPO; NHC CORNATION
📞☏+255 713 00 8484
@fadhaget
Wakati mzuri kwa mara nyengine tena na wakali @solidgroundfamily ndani ya #Theclassicefm ,madini ni mengi toka kwao ,gusa link kutazama mahojiano haya
https://t.co/bBksMuzBib
Fundi wa mitambao na uandishi @stereosingasinga anatua kwenye meza ya #Theclassicefm mchana wa leo,licha ya kua ana ngoma mpya kadhaa ndani ya miezi miwili tu lakini tayari alishatupatia album Classic kabisa huko nyuma,”African Son” tukiiangaza hiyo na mengine basi tukutane👇🏾
Taarifa ya kusikitisha
Vyanzo mbali mbali vya habari vimeripoti kifo cha msanii Mandojo kilichotokea huko Dodoma,Taarifa zinasema msanii huyo amefariki kwa kupiga akidhaniwa ni mwizi,hakuna habari zaidi ilikuaje chanzo cha tukio mpaka sasa,tutajulishana zaidi zikipatikana ,M.A.P
Leo ni leo ndani ya #Theclassicefm …moja ya makundi bora ya muda wote Bongofleva mama sio kundi bora zaidi Daz Nundaz wakiwa kundi @feroozgram @officialdazbaba @sajowadaz ndio wanaketi nasi kwenye meza kubwa ya The Classic,haina maneno mengi hiyo jambo linajieleza tuanze👇🏾