@ReganTesla_ Uliyeandika ndiye umewasilisha tatizo la wabongo kutokupenda kusoma. Huanza kwa utani ili atengeneze hadhira yake. Halafu anawasilisha elimu. Ila wewe huwa humsikilizi
@HildaNewton21 Huo unafiki ndio unafanya msiaminiwe. Mlikuwa mmeufyata mnasubiri Kigogo awapiganie na Sarungi??? By any means acheni kulinganisha regimes.
@INFLUENCERjr Laarusa ni wakulima
Maasai ni wafugaji.
Laarusa wanabadilika kulingana na mahali.
Maasai hawabadiliki
Maasai wanadai Laarusa hawaaminiki yaani hawasimamii jambo.
sisi hatuoni tofauti ya Lugha wao wanajuana sana.
Maasai wametunza hadhi yao Laarusa wameipoteza
@George_Ambangil Bila kuelezea kiufundi, huu mpira wa anao anao ulishamfelisha madrid enzi za galacticos. Ukamfelisha PSG na kina mbape na messi. Kwa nini kuurudia? Mbape, Vinicius, Guller na mwingereza wao hawakabi! Wachezaji wanne hawakabi 2025????????????
@mnazi36 Ni uroho tu wa mabosi. Saratoga Zhongtong anachujua abiria 49. Halafu adventure Dragon anachukua abiria 53, na unaenda kugoma yaani mateso! Kilimanjaro unalipa 60,000 arusha halafu hamna legroom! Ni wakati LATRA watulinde abiria warefu.
@AbroadTanzania Kwa hiyo Nyerere na Kawawa hawakuwa maswahiba? Dah! Kwani waandishi wa Tanzania mmelogwa? Kawawa huyuhuyu aliyekuwa Royal kwa Nyerere hadi akawa ni mtani wa Taifa? Andikeni ili kuelimisha na sio kutafuta contents
@godbless_lema Kaka, Ni ngumu kuwapigania watu wenye njaa. Msimamo wa NRNE umethibitisha kwa nini mwenye njaa usimwamini. Ni muhimu kujua 2030 tutakuwa na mpinzani halisi.
@ayubu_madenge Match ipo kwa sababu hizi team zinatumika kisiasa. Kwa kuwa aliye amuru iwepo ni mkuu wa siasa 5imba hawana ubavu wa kutokucheza. Pili 5imba wana kiu na kombe. Hawawezi kuliachia kirahisi wakati ya mwakani hawayajui. Tatu, Leo 5imba ana uhakika wa ushindi. Hawezi poteza
@SimbaSCTanzania Taarifa muhimu: niko getini, uwanja wa Taifa! nimepewa jukumu la kuwafungulia milango wageni wetu waje kufanya mazoezi. Maelekezo: mbuzi, kuku, na wazee wafupi haviruhusiwi!