NAMNA FOREX ITAKAVYOWAFILISI VIJANA 2023
Baadhi ya nchi kama United States🇺🇸United Kingdom🇬🇧 Japan🇯🇵 Australia🇦🇺 Germany 🇩🇪 na Canada🇨🇦 zikiwa na idadi kubwa ya forex traders,
Creative Indurstry ni mgodi flani wa hela unaochukuliwa poa sana .
Incase umepanga kujifunza kitu kipya 2023 ,Nakushauri tafuta kitu kimoja kwenye Creative Indurstry Ujifunze .
Anyway ,Thread hii nitaandika skills mbalimbali unaweza jifunza kwenye creative Indurstry .