@EsirEid@Kanenamagufa Ila boni ni mwamba sana mi sio chadema ila man kaongea fact ,hivi unaenda kwa kina Zitto kuwa mbunge kweli ni akili au matope ila la pili nimegundua kuwa watu wanaotaka sana uongozi hata kwa kuuza utu wake ,umasikini haundoki kwa mtu kuwa kiongozi,tafuteni Hela jamani
@VitusNkuna Unafiki utawaua sana nyie masnich ,ni muda wa wengine mjitoe sana maana mlikuwa pale kula Hela ya mwanaume mwezio ,Sasa hayupo mtakula nini ?
@VitusNkuna Ilikuwa sh ngapi man ,ila mlishawahi kupata wabunge wengi sana mkafanya nini ,maana hoja Yako nikuwa mkiwa wabunge mtabadisha kitu ila mlishawahi kubadilisha kitu kwa kupitia wabunge wenu