@BabaD_Historian@YoungAfricansSC Yaan kolo tangu tumewachomekea dudu washa zile 5 mpk leo hakuna amabe akili yake ishakaa sawa,wote ni kama wewe tu,mamaqe mpk mseme,na hao shoga zenu watasema!!
@JamesKalen62246@FKihamu Hoja hafifu hyo ww kiazi,kwahy hao shoga zako waliofungwa 5 wote walitembelewa kambini? Nyau kweli pambana na timu yako mbovu na kama huamini ombeni hata friend match leo ndo utaelewa nn anamaanisha hyo mchambuzi!!
@FKihamu Ni kweli sema jamaa linapenda sana kujiliza likiguswa,duniani beki wa kati ukiwa hivyo unaweza tiwa hata kidole matakoni,beki ni mlinzi mkuu wa timu lazma uwe mgumu mamaqee!!
@millardayo Simba na Yanga ndio Ndoto za vijana wengi bongo lkn pi huwa ndo mwisho wa viwango vyao walivyoonesha mpk kusajiliwa,wenye akili wanapohitajika na timu hizi huwa wanakataa!!
@AliKamwe_ Braza itoshe kusema tu ni wa hovyo basi,kuhusu bangi unataka kutukosea sana,watu tunamoka kama kawa na hatuna huo ushamba kama hao jamaa!! ๐๐๐
@HildaNewton21 Kuna mdada nimekutana nae nikamuuliza vp kuhusu malipo Sensa kanijibu hivi "Nikija kuomba tena ukarani wa Sensa niite mbwa" afu akaondoka ghafla!! ๐๐