Colleagues, let’s help this fellow. Ni mwenzetu. Alipigwa risasi tarehe 29. Mungu ni mwema akampigania. Sasa anajiuguza. Peke yake hawezi. Ninawasihi sana tumuuguze. Kwa chochote ulichonacho, help a bro recover. Maelekezo yako kwenye post ndefu hapo chini.
Speedy recovery, bro.
Naomba tushikamane kwa maombi na mchango kwa ndugu yetu anayepitia kipindi kigumu. Kila ulicho nacho, hata kidogo, kinaweza kuwa tumaini kubwa kwake. 🙏🤍
0677933081 Yas (AYOUB SIWALE)
Wandugu habari.
Nakuja kumuombea msaada kijana Imani Mapinduzi Mathias mwanafunzi wa shahada ya ualimu chuo kikuu kishiriki cha elimu Mkwawa. Amenifikia kuomba msaada kwa bahati mbaya, mimi siwezi kutatua shida ya kifedha aliyonayo. Ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu....1/5
Sasa anaomba msaada wa kupata ada angalau ya semester I ambayo ni 535,000/- Control namba ya ada ni 994030166416
Namba hake ya simu ni 0762594503 IMAN MAPINDUZI MATHIAS. Elfu 1,2,3,..10 ama zaidi inaweza kumsaidia kijana huyu akamaliza masomo yake. 4/5