@Okash_Holyfield @Nurjan_seyd Daah mwanangu nimewaza niende hosp maana nakua mwekundu hadi vipele vinatokea ila nikikaa kama 2hrs kivulini au nijimwagie maji ya baridi ndo naanza kupoa 🙌🏾 hii hali inanitesa nashindwa kua comfortable kabisa.
@Okash_Holyfield @Nurjan_seyd Oyaa hii ni mimi aisee umetumia nini mzee wangu inatesa kinoma hata ukifanya kazi kidogo unawasha kisenge ila kuna mda inapotea
@MelvinJast15180@koku_shekya Cancer wana kipaji cha hisia ya kugundua mambo yanayotendeka ikiwa ni pamoja na kubashiri mambo, kumwelewa mtu kwa undani na kujua jambo ambalo mtu anataka kulifanya au jambo litakalotendeka hasa kwenye watu wengi. (Sensitive):