@PolycarpMDM Unaandika kama umekatwa kichwa.
Kwan hao wanajesh wameua wazazi wangap wa hao watoto, sio ajabu huyo mtot hana hao wazazi unao wasemea ww.
Kwan ushashema wanajeshi wa Israel wapo ndani ya Palestine wanafanya nn huko na sio kwao.
@MariaSTsehai Shangazi huchoki tu.
Mnataka kuchukua nchi muipeleke wpi. Na sie wengine tuish wapi?
Waliosema
Common sense is not so common n kweli,
Akili yako inashindwa kukwambia kua unacho kiwaza n hakiwezekani?
Why fighting a losing battle?
@millardayo Wazo la kipuuzi.
Akija mtu kutoka nje kuongoza nchi yako unadhani akifanya kibaya utakuwa na uwezo wa kumuwajibisha.
What if unao wataka waje kua viongoz wetu wafike hapa na kutusainisha mikataba ya hovyo zaid.
Na wakikwambia watakaa for 5+ yrs utagoma?
@MichaRama@ChrissWalk27376@HildaNewton21 Anaweza kututhibitishia vipi kama kweli hio n nyumba ya anayo msema.
Mtu anaweza simamia jengo la ndugu yake na wengine mkasema lake.
Shida sio taarifa shida ni uhakika wa taarifa.