Dickson Sylvester, amepata ajali, kafariki, yupo hospitali ya Lugalo. Maelezo yapo kituo cha polisi Kawe. Simu ina password, SIMcard ina pincode. Ndugu zake hawajapatikana.
Saidia kusambaza taarifa hii popote ili ndugu, jamaa na rafiki zake wapate taarifa, wafike Lugalo.