Mwenyekiti wa chama Taifa leo 5.4.2025 @TunduALissu ametengua uteuzi wa mjumbe wa secritariate na mtalamu wa dawati la jinsia @CatherineRuge
Operesheni #NoReformsNoElection inaendelea kuchanja mbuga kanda ya kusini.
@StoneSaphia Wazae tu waache kuwaza kutenda dhambi mbaya zaidi hayo mambo ya dini,jina kabila na vingienvyo kama hivyo ni vya hapa duniani mtu unapewa tu ila siyo huyo mtoto huyo mtoto halisi ni yeye bila hivyo
@YourFrenchFry Having a baby when youโre not financially stable and exposing them to the hardships of poverty is deeply unfair basi tu wabongo maisha yetu tunaishi siku ipite pakuche
Kama upo kwenye nafasi ya kumvuta Mtanzania mmoja au zaidi, awe ndugu, jamaa, rafiki au mtu baki kumtoa kwenye umaskini.
Please do it, huo ndio mchango wako wa Taifa lako.
Umaskini mbaya, unaogopesha, unatisha.
Punguza kutumia sukari,kunywa maji mengi, fanya mazoezi,tafuta pesa sana, jitengenezee connection ya michongo na washikaji, tuliza akili kwenye mambo muhimu tu achana na upuuzi wowote unaokupotezea mda na malengo, ongeza ujuzi na kula chakula Bora kwa afya
Hii ni dawa maisha.
Shida hutukutanisha na watu wengi kuliko furaha, shida hukufanya uwaelewe binadamu kwa undani zaidi, shida hutupa unyenyekevu wa kujifunza ambayo tusingeyajua, shida huibua vipawa ndani yetu, shida hutupa hasira ya maisha, shida hutusogeza karibu na Mungu. Shida kiasi ni afya!