@PMadeleka Hata kama tume itaiambia serikali mliuwa watu je hiyo serikali unavyoiona itajichukulia hatua? People have no confidence na mchakato wote huo
@GavrielEToviel@mwigulunchemba1 The day this brother of our will stop this propaganda and face reality and take action again watu wameuwa watu that is the day hii nchi itapona tz people deserve the best brother PM kamata watu wameuwa wat
Mzazi akipika chakula watoto watakisifia kama ni kizuri, sio kuwafokea watoto ohooo nani kasema chakula sio kitamu Kama walaji wanasema court si huru karekebishe huko badala ya kuwafokea walaji
Jamani mwambieni PM hawawezi kumaliza hili jambo bila kuwawajibisha wakubwa wa polisi waliouwa ndugu zetu they better stop this kuhongwa propaganda na wakamate kina Muriro ili waponye nchi vinginevyo wataleta utulivu wa muda tu
@BabaMwita Hao ni Iligitemency leader unfortunately you have to engage with them in the round table kupata mustakabali wa nchi CHADEMA hakikisheni mnatumia kila fursa ya kuongea itakayojitokeza
Naomba mtu mmoja amkumbushe PM wa sasa hakujibu swala la itekaji na freedom of speech Jeshi haliwezi kuaminika na wengi kwa sasa kama halionekani kutenda haki
@chiefodemba Nafikiri amejibu hilo swali vizuri swali nyongeza ni kwa nini Kuna malalamiko ya kukosa uhuru na haki kwenye taifa letu? Watu wanaonekana kuogopa kuzungumza mawazo yao na wanaozungumza wanapotea