Huku mitandaoni tunapowakosoa na kuwashauri (tena kwa lugha ya staha)nyie viongozi wa umma hususan serikali na vyombo vyake; tafsiri yake TUNAWAPENDA na tunawaepusha na MAAMUZI MAGUMU wanayoweza kuyachukua maboss wenu(wananchi)dhidi ya madudu yenu.
Chaguo ni lenu.
#ChangeTanzania
Nimesoma Kauli Ya Kada Shyrose Bhaji Kuwa Akubaliani Na Uongozi Wa Magufuli, Binafsi Natarajia Mambo Mawili Yatokee
1) Shyrose Aje Na Utetezi Kama Wa Ridhiwani Kwamba Account Yake Ilidukuliwa
2) Uhamiaji Waanze Chokochoko Kuhusu Uraia Wake
Baada ya Sugu kufungwa,Mke wangu aliniambia"Godbless maisha ya Siasa yanaendelea kuwa magumu sana,kazi yenu sasa imekuwa ni kuzika, mahakamani,Polisi,Hospital na magereza" Mkti anasemaje?Mpeni moyo sana,mnapaswa kuilazimisha furaha ili msipoteze Imani na matumaini.unarudi lini ?
Nchi yetu ni ya demokarsia wa vyama vingi. Wajibu wa kuilinda Katiba yetu ni wetu wote, wananchi, askari wetu wa majeshi yote, na hata Jeshi la Polisi, tuutimize wajibu wetu Mkuu wa KULINDA KATIBA. Tuilinde.
Nachdem mir neulich eine Socke in den Tee gefallen ist habe ich mir soeben an einem Knäckebrot (!) den Gaumen blutend aufgeschlitzt.
Wird Zeit für die Gummizelle.
@con_m75@Bukura@RobertAlai I now feel that i'm in a conversation with a bot. The world sees what you guys are doing that doesn't mean everyone is blind. If you think people can play games with bullets then I agree and this is my last tweet.
@con_m75@Bukura@RobertAlai Stop taking our conversation to personal levels. Our discussion at hand was democracy, freedom of speech and a person you refered to as a clown. Otherwise you should project where will the so called democracy with obstacles take you in 5 years from now.
@KennedyMmari Kwann wajihangaishe hvyo kusumbua interpol. Waende wakawahoji wote huko nairobi. Kwan lisu na dereva wamegoma kutoa ushirikiano? Au wanahs sheria za kuweka mtu ndani 48 haziapply huko?
"Lyin’ Ted"
"Low Energy Jeb"
"Little Marco"
Where does "Sloppy Steve" rank among President Trump's other nicknames for his political enemies? @CillizzaCNN has the definitive list https://t.co/1lklErFUxK
@con_m75@Bukura@RobertAlai So learn in a democracy you take a so called clown to court. You don't kill offenders. If you think someone is wrong you take him/her to court. It's that simple.
@con_m75@Bukura@RobertAlai How dare you call me young and you don't even know me. How can you be so ignorant. You call lissu a clown then you try lecturing me on democracy! You can't even get your points straight. Your education isn't glorious if they don't teach you the meaning of democracy.
@con_m75@Bukura@RobertAlai Wait a minute! You called Lissu a clown. You said he didn't learn a thing or two. Then you tell me we segregate the two points. Are you really okay? What do they teach in school these days? You amaze me.