@master_plan9 Mwanamke ameubwa kama recever kwa mme wake, endapo akiona anapata hela kutokana na jasho lake kamwe hawezi kumpa heshima mme wake japo mumuwe ndo ame mpa mtaji.
@Northen_Rock@IAmHaule@MarekaMalili Sawa itaongeza lakini kumbuka n thamani ya pesa otangezeka, 10m ya saivi hawezi kulingana thamani ya 10M after 10 years
@og_outfits Una stage ziko 4
Stage kwanza, huchukua wiki 2 mpka 4
Hapa na ningum mtu kujijua akiwa stage one
Stage 2 hii huchukua mpka miaka 10 kulingana na kinga ya mtu lakini yy anaweza kuneza vizuri 2 dalili moja wapo
Stage 3 hii apo ndo mtu anaaza kuona dalili moja kwa moja
Kungua