@vfsglobalcare Hello team. I applied for UK VISA GWF 077084857 and submitted my passport since 7th June. I paid for courier service named Aramex with track number 324 271 760 51. Please help me on the delivery of my passport as Aramex are saying the order is not in their system
@SuluhuSamia Nami naungana na Mh raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania @SuluhuSamia kuwa ndugu zetu na majirani zetu wa jamhuri ya Kenya kwa msiba huu mkubwa wa kuondokewana mkuu wa majeshi pamoja na wenzake. Mwenyezi Mungu awajalie marehe pumziko jema na aendelee kuziweka nchi zetu salama
@Gaspinho15 Ajali sio mpango wa Mungu bali ni kazi ya Ibilisi. Mungu kazi yake ni kuokoa na sio kuangamiza. Mwanadamu akizidi ukengeukaji huwa anajiangamiza mwenyewe