@fbuyobe Gift Kapwapwa ambaye ni PW1 katika case hii alikuwa ni mtoto wa wifi yake na Candy (R.I.P) ambaye anaitwa Maristela Kapwapwa. Hii haikuwa case ya kisiasa, Nguza na wanae walifanya kweli gang sadome.
@ahmedsalimasas@ahmedsalimasas a very good investment. Nadhani sasa Ahmed ni muda sahihi wa kuanza kutoa darasa la wazi juu ya ufugaji wa ng'ombe wa maziwa kibiashara kwa vijana wa kiTanzania. Andaa darasa vijana wachukue madini.
@SkySportsPL Chelsea will win it. Liverpool will make fatal mistakes of which Chelsea won't. Chelsea wants this title this season to prove everyone wrong for loosing confidence on them for not winning any title within 3 years. And to show the world that their signings were significant.
@salim_alkhasas Salim kulinda ngazi ni jukumu letu no matter what. Wanavyo shuka tunaandaa mkeka na birika la gahawa na kashata, na kujiandaa na hadithi za kule watokako juu na za kwetu huku chini.
@Simbascot@CrownMediaTZ Magoma anaweza kuwa sahihi kabisa. Anaweza akawa haitambui hii kesi. Maana ukisoma hapo Judgment sio ya Jana ni ya mwaka jana Tena mwezi wa 8.
UKIFANYA HIVI UTAANZISHA BIASHARA YOYOTE DUNIANI.
PDF ina inapages 13 za moto π₯
Utaipata sasa hivi hakikisha
umenifollow
Niweze ingia inbox kwako π
Repost alafu comment "TAYARI"
Nakutumia ndani ya Sekunde moja
#wekezanami