@Thommunkondya Mind you, mikusanyiko sio mikutano ya kiasiasa pekee. Luma mikutano ya dini pia nayo ipigwe marufuku? Inakuja akilini kuzuia mikusanyiko ya kisiasa pekee???? Hiyo siyo kuongeza tatizo?
@Thommunkondya@Thommunkondya wewe ni kijana na unatakiwa kulusaidia taifa kwa kuweka mawazo yako chanya kusaidia Chama chako pia. Hizo mbinu za kizamani haziwasaidii zaidi ni kuleta taharuki zaidi. Hebu kuwa mkweli, kuna tatizo gani nchini linalosababisha mikusanyiko izuiwe?
@Skinny36479503@BrendaRupia@ChademaTZ2@ccm_tanzania Siaza za kistaarabu ni zipi? Unataka oppostion waitishe mkutano wa kusifia serikali iliyo chini ya chama mpinzani wao? Kazi yao ni kuibua udhaifu wa serikali ili wananchi wauone na sio kusifia. Labda kama wametukana viongozi utujuze.
@Nice_Gisunte Happy Birthday, Kamanda Nice. Wishing you endless happiness, good health, and success. May your smile always shine, and may this new year bring you all the best you truly deserve. Have a wonderful day.
Hupendi kulala kitanda hakijatandikwa ila wewe mwenye mvivu kutandika.
Unapenda sehemu safi, ila wewe ni mchafuaji namba moja.
Unataka biashara ikulipe au kazi ila huna efforts.
Unataka kupendwa vizuri ila wewe bingwa wa maudhi.
Watu maisha uwa mnayaona kama mchezo flani eeh?
@Dominicksalamb1 Nasikia uliwahi kuwa mchambuzi Azam TV...kwa vile sikuwahi kukuona ukichambua pale Azam huwa siamini hata siku moja kama wewe ukiweza kuchambua maana hywa nikiweka formula jibu linakuja -ve
@Thommunkondya Chama chenu kungekuwa kinajiamini kuwa kimao hao wapiga kura, kisingeogopa kuleta Katiba inayodaiwa na wananchi, kisingeungana na vyombo vya ulinzi na kuwa Chama kimoja, kisingeogopa uchaguzi huru na haki. Nchi ya Malawi kila kitu ni propaganda.
@Thommunkondya Unatakaajadili jambo lipi? Akilalamikia serikali kukalia kimya utekaji unalalamika, akiongelea yaliyotokea kabla na baada ya 29 Oct nayo hutaki ayaseme. Sasa unataka aseme yapi SGR na DPW au aseme nini. Wananchi wanataka waambiwe lipi au hujui JWH ni opposition? Hawezi sifia huyo