Before we begin talking about prices, let's have abroad conversation on quantity vs quality first.
Kindly, keep following us
Instagram @joyfurnitures_tz
Twitter @joyfurnitures
Facebook @joyfurnitures
Tiktok @joyfurnitures
WhatsApp 0745 654 277
Physical location| Keko DDC
Imagine mtu wa Tasnia yako (Mfano Furniture) ana kutag wewe ili uone na ushee kazi yake ifike mbali (whichโs Good)
Ajabu mtu huyo huyo, akiiona Post yako, ha Show love #repost (Kumalija ndoige)
Unafiki ni Kama UKIMWI, huuoni kwa macho ya Nyama๐ฎ
Nimekuwa mteja wa Huduma ya VodaBima #farajayangu miaka 3 sasa.
Nimekuwa nikikatwa 4000 kila Mwezi Automatic (nimeridhia huduma hii)
Ajabu leo nimepiga kuhitaji huduma ya Kuzungumza na Dr, naambiwa sijafanya malipo๐คท๐ฝ
Nachelea kusema ni huduma ya hovyo๐ฎ @VodacomTanzania
Nyumba yako inahitaji vitu Simple, visivyo chosha kutizamaโฆ
Usirembe saana kama ndugu zangu waleee๐
L-Shape for Single living rooms 650,000/=
#preorderโ
Fanyeni vyote ila msisahau kujenga Wakuu, na Gharama sio kuubwa Kiviile..
Ten uliyonayo waweza ichukulia poa, ila ndondondo si Chururu๐
Nipo hapa kuwakumbusha tu๐
Mjengo kama huu 25m ubaoni๐ฅ
Design hii ya Sofa ikiwa tayri Showroom ni 1.9m hadi 2.6m
ikiwa utanipa Order from Workshop, seti yake ni 1.6m.
Nina Brother ali Direct-iwa kwangu kwa Order ya 2:1:1 price ikasoma 950k.
Imagine akanipa 1,050,000=
then Boom๐ฅ
Ni Wateja Wachache sana wenye kujua Thamani๐๐ผ