Barrister/A Son with Fair-Minded/Ghetto kid/ManUtdFan#Someone you can trust#@NdumeIsMyFavouriteName#TheChampionboi#Mwanaichi, farmer by birth..laywer by default
Cristiano Ronaldo is not just the greatest footballer of all time.
He became bigger than every name in the history of Manchester United and Real Madrid, the two most prestigious clubs in world football.
Now, at 40, he is chasing football’s ultimate milestone: 1,000 official goals.
A once-in-a-century story, with its final chapter being written at Al Nassr Saudi Arabia’s global club and one of Asia’s most historic institutions. 💙💛🇸🇦🐐
Final submissions, hapa ndipo kesi ya Lissu itawekwa kwenye mizani ya sheria na ushahidi. 👇🏾
Kwa kuangalia mwenendo mzima wa kesi mpaka sasa, nadhani final submissions zitakuwa ndio sehemu ambayo kila upande utajaribu kuunganisha vipande vyote vya ushahidi na kuvifanya viwe legal theory moja inayoweza kuishawishi Mahakama.
Nadhani pande wa Jamhuri, utaanza kwa msingi wa charge yenyewe, na tukumbuke tayari wakati wa hatua ya case to answer, prosecution ilieleza kwamba inaona imeweza kuonyesha allegiance,
Intention na threat au incitement kwa Serikali kupitia kauli za Lissu kuhusu kusimamisha au kuvuruga uchaguzi.
Kingine Jamhuri pia ilisisitiza kwamba sio lazima ionyeshe kwamba Serikali kweli iliogopa, ila kwa mtazamo wao, intention ya kutishia ndiyo muhimu.
Kwa hiyo kwenye final submission, prosecution itajaribu kujenga chain kuanzia maneno ya Lissu, maana ya maneno hayo, intention iliyokuwa nyuma yake, mobilisation ya wananchi.
Pia watunganisha na threat kwa Serikali, overt act au act inayohitajika kisheria na treason.
Kingine watajaribu kuonyesha kwamba ukiangalia speech nzima, context ya CHADEMA, public meetings na namna kauli zilivyotolewa.
Hayakuwa maneno ya kawaida ya political advocacy bali yalikuwa hatua kuelekea kuzuia uchaguzi na kuleta pressure kwa Serikali.
Hili ndilo eneo ambalo prosecution italazimika kulifunga kwa umakini zaidi,
Kwa sababu kuwepo kwa maneno makali pekee hakumalizi automatically kila ingredient ya offence, na hapa defence ina nafasi kubwa ya kufanya distinction.
Tukumbuke pia TAL tayari amekubali kwamba baadhi ya maneno yaliyotajwa na prosecution ni maneno yake,
Lakini msimamo wake umekuwa kwamba maneno hayo hayawezi kutolewa kwenye context ya speech nzima.
Amesema alikuwa akizungumza kuhusu constitutional and electoral reforms, na kwamba political mobilisation, peaceful demonstrations na kutumia legal avenues kupinga Serikali si sawa na treasonous conduct.
Kwa mtazamo wangu nadhani defence itaanza kwa kusema, Tukubali kwa argument kwamba Lissu alisema maneno haya.
Sasa tuonyesheni wapi kwenye record prosecution imethibitisha kwamba maneno hayo yalikuwa na criminal intention inayohitajika na sheria?
Na hapo ndipo mens rea itakuwa moja ya battleground kubwa.
Na kwa defence inaweza kuichambua speech kama document nzima, yaani ilikuwa zaidi ya saa mbili, sehemu inayodaiwa kuwa treasonous ilikuwa sehemu ndogo ya speech,
Na kulikuwa na discussion pana kuhusu constitutional reforms, composition of the electoral commission, historical electoral grievances, disqualification of candidates, observer reports,
Na political position ya CHADEMA ya No Reforms, No Election.
Pia tukumbuke wakati wa defence, mashahidi kadhaa walisisitiza kwamba msimamo huo ulitokana na maamuzi ya CHADEMA yaliyotangulia Aprili 3, 2025.
Hivyo defence itajaribu kuonyesha kwamba Lissu hakuwa anaanzisha criminal plan siku hiyo, ila alikuwa akiwasilisha institutional political position iliyokuwepo kabla yake.
Na hapo ndipo attribution na publication pia zinaweza kurudi, na pia tukumbuke Prosecution ilijenga hoja kwamba speech ilichapishwa na kusambazwa online,
Lakini Lissu amekuwa akipinga kwamba hakudhibiti Jambo TV na kwamba journalist ndiye aliyeamua kulivestream na baadaye kupakia video. Na wakati wa case to answer, hili tayari lilikuwa moja ya hoja zake.
Pia defence inaweza kusema kwamba, hata kama publication ilitokea, prosecution bado lazima ithibitishe legal responsibility ya accused kwa publication inayodaiwa kuwa sehemu ya offence,na sio kuwepo kwa video pekee.
Jambo lingine ninaloliona likiwa muhimu sana ni causal nexus, Prosecution imeleta ushahidi mwingi kuhusu violence, killings, arrests, destruction na matukio ya uchaguzi wa 2025.
Lakini hapa defence inaweza kuuliza swali rahisi sana lakini la mtego kwamba, Ni ushahidi gani unaounganisha matukio hayo na Lissu personally?
Ikitokea umepata Ugonjwa Sugu wa Figo itabidi upate huduma ya kuchuja damu kwa kutumia Figo za nje (Dialysis) maisha yako yote, ambapo gharama ya chini zaidi ni Walau Tsh. 450,000 kwa wiki ambayo ni ngumu kuimudu, hasa ikiwa uwezo wa Kiuchumi si Mkubwa. Ni muhimu kulinda afya sasa kabla mambo hayajaharibika.
Na Dkt. Sarafina Swai kutoka Hospitali ya Kitengule
Video: Wasafi Media
Msikilize kwa makini profesa Janabi 👨⚕️🎓 ili ufahamu namna figo zinavyoharibiwa na presha 💔,sukari 🍬 na dawa za maumivu 💊⚠️
Msisahau kupima H pylori 🦠,brusela 🧫 na dundumio 🫁😷 Haya matatizo ni balaa jipya mjini 😨⚠️🔥
#doktamathew 🩺 #fypシ゚ ✨ #highlights 🌟 #fypシ゚viralシ 🚀
Kumwachia Mtoto Simu au iPad muda wote haumjengi ila unamuharibu Akili
Msikilize Prof. Karim Manji, Mhadhiri, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili akifafanua suala hili kupitia Torch Media Tz
Video: Torch Media Tz
Unakunywa chai asubuhi? ☕️ Baada ya kupata elimu hii kutoka kwa profesa 🎓 jitafakari sana kuhusu matumizi ya chai 🤔 kama unapenda afya yako ❤️ na unapenda uishi muda mrefu 🕰️
Msisahau kupima H pylori 🦠,brusela 🧫 na dundumio 🫁 Haya matatizo ni balaa jipya mjini 😨⚠️
#doktamathew 🩺 #fypシ゚ #highlights ✨ #fypシ゚viralシ 🚀
Wakenya Kiswahili chao kina sound funny sana. Mfano "Story za jaba" ni story za uongo na "Ushagoo" ni Kijijini, ongezea unayoijua wewe hapo kwa comment.😂
DJ @ankochoka amewakumbusha vijana kuipenda miili yao kabla ya kuanza kupenda kula bata.
Anko Choka ameshea nasi ujumbe huu akiwa kitandani akipatiwa matibabu Hospitali ya Aga Khan.
"Nachopitia mimi kwa sasa ni matokeo ya kuwa mbishi wa kutokwenda Hospitali, hata nikiumwa nilikuwa nasea hii ni Hangover au uchovu wa starehe halafu naendeleza"
"Kuumwa kunaweza kusionekane siku 1 au mwezi lakini ugonjwa unajikusanya tu siku ukija kulipuka ni tukio la mara moja tunakusahau. Nawashauri sana vijana wenzangu kabla ya kupenda bata tuipende miili yetu kwa sababu inatufanya turinge mjini". ✍ @ankochoka
#EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha
Kumbuka nazungumzia wale ambao hawajapata matatizo ya tumbo kama asidi, gesi,GERD au vidonda vya tumbo kabisa ⚠️🩺. Kufunga kula au kula mara moja au mbili kwa siku huku ukiwa huna mawazo ya kula 🤔 husaidia kufanya asidi tumboni iwe chini 📉 kuliko anayewaza kula au kumezea mate 🤤 watu wanaokula 🍽️.
Kama una matatizo hayo ⚠️ zungumza na Dr wako 👨⚕️👩⚕️ ili akupe mbinu stahiki 📝 kuendana na hali yako baada ya vipimo 🔬.
#doktamathew 🩺 #fypシ゚ #highlights ✨