@joshuamsuyatz Kwa sisi wakristo tunaambiwa apatae mke amepata chombo chema kwa hio mwanaume kuendelea kumiliki vyombo sio ajabu ila chombo kinapoanza kumilikiwa na mwingine yafaa kitupwe hamna usawa kwenye maisha
Ligi yetu sana kiasi kwamba toka sa nane mpaka sa tatu mbugi inapigwa nategemea simba na yanga waanze kucheza nao sa nane mchana. Bira hivo tunazipa upendeleo timu fulani kwenu tff