Dakika 60 za mahojiano zimekwisha. Tumemsikiliza Tundu Lissu na tumemsikiliza Professor P.L.O Lumumba. Bila upendeleo, tukiwa wa kweli na wawazi nani kazungumza vema na kajenga hoja kwa umakini? Retweet kwa Tundu Lissu na Like kwa P.L.O Lumumba
@kigogo2014 Ujue huu mchongo ukikaa poa tutapiga hela kinoma, alafu tumalize zile project zetu zilizotaka kubuma, si uiona pale kwenye project ya SGR pilivyokuja kuzingua.