@godbless_lema Ivi kwann ww Lema unapenda sana kutumia matusi unavyopost hisia zako? Majuzi tu ulimuandama Mo dewij kwa kumtukana, alikaa kimya kwa maana alikudharau na ndo dawa ya wapumbavu ilivyo....! Sasa umeamia upande mwingine ukikamatwa unaanza kulalamika.
Once u be told that Simba sc is another level, u just agree with this slogan overlastingly.....!
#Kamahutaki, basi huna budi KUKUBALI π₯π₯π₯π₯π₯π₯
Sir DISMAS TUITION CENTER....Mlete mwanao katika kituo chetu ili apate ELIMU bora kabisa kwa bei nafuu...! Tunatoa huduma ya masomo yote kwa ngazi zote za ELIMU kuanzia PRIMARY LEVEL to SECONDARY LEVEL ( O'LEVEL & A-LEVEL)...
#Kwamawasiliano zaidi;
0754-482885....