@HecheJohn Tunahitaji Beki mmoja matured level ya Sol Campbell,
Midfield iko vzr.
Tuna wavulana kwenye attack. Anahitajika mwanaume mmoja awacoordinate hawa wavulana.
Nawatakia watanzania wote Pasaka njema, tuadhimishe ufufuko wa Yesu Kristo huku tukiliombea Taifa letu la Tanzania kudumisha amani, upendo na mshikamano. Tuendeleze jitihada za kuijenga nchi yetu kwa kuchapa kazi kwa juhudi na maarifa.
Yesu amefufuka, Haleluya Haleluya.