@rollymsouth watoto mashuleni hawana matundu ya vyoo ya kutosha.hawana madawati .madarasa yenyewe ni mbavu za mbwaa...
mbaya zaidi upande wa afya... hakuna madawa,,,huduma za maabara zimesahaulika,,,huduma za kina mama wajawazito ni HAFIFU pia..
BUT PESA ZINAENDA KWENYE MICHEZO...
DUNIA HIII