@ayubu_madenge 8:20matendo...lakin Petro akamwambia,Fedha yako na ipotelee mbali pamoja nawe,kwa kuwa umedhani ya kuwa karama ya MUNGU yapatikana kwa Mali......
"Kama watu wachache wanaishi maisha ya fahari fahari na watu walio wengi hawapati hata mahitaji yao ya lazima, hatuwezi kudumisha amani na utulivu nchini mwetu," Nyerere-Agosti 16, 1990.