Jiamini kama mmeru, tafta hela kama mchaga, tunza pesa kama mpare, kuwa mkarimu kama wanyawezi, ongea na wateja kama mzaramo, tengeneza network zenye mana kama mkinga, amua kwa busara kama mzanaki, kuwa brand kama mmasai, vutia kibiashara kama mbulu, ongeza akili kama mmarangu