@khaledponera@Adventure_36 Hapo alipo sio rahisi kupata ajari gari zinapita kulia na kushoto hapo kati paliachwa kama emergency kwa barabara yeyote iwe kulia au kushoto kukiwa na foleni patumike
@mankaree27 @EsirEid Naam naam tatizo kubwa lipo kwenye elimu na maarifa maaskofu wengi wamesoma wanaelewa misingi na katiba ya nchi shida huu upande wengi wanaelimu ya dini kuliko elimu ya kidunia ndio maana wanaona kama sehemu sahihi ya kujificha ni kwenye udini lakini sio kweli!