A Wife, Mother of two, Oxfam Tz Social Media Influencer, Blogger, Event Coordinator, Executive Assistant @ Technology Associates Ltd, Life Goes On Blog Owner
Shirika la @oxfamtz kwa kuzingatia humuhimu wa #ArdhiYetu wameamua ku introduce tool ambayo itatusaidia nchini kuingia mikataba sahihi ya #UwekezajiWaArdhiYetu kwa manufaa ya wananchi wote kwa ujumla
Ushaona live interviews za @OfficialAliKiba wewe akiwa anaintroduce nyimbo yaani balaa vocal sound muzikimtamu muonekano na anyo flow na beats.. sasa kasheshe video ikitoka sijui anakwama wapi? kiufupi ni bingwa wa teaser. I wish apate producer mzuri changamkieni hiyo tender.

Finding solutions (voluntary repatriation, local integration and resettlement) is at the centre of @Refugees 's mandate. Gayole Guy Manchapi, after being a refugee in 🇿🇲, unites with his mother in 🇧🇪 with facilitation from @UNHCR 🇿🇲 and 🇮🇹's Embassy in Tanzania.
Nilipata nafasi na kuthaminiwa na kupewa heshima nawapenda maua nguri hapa nchini Tanzania kama upcoming #FlowerLady Niwaibie siri ukiamka anza siku na maua zungukia mwagilia angalia vimichanuo basi network ya kichwa itakuwa sawa nakukupa urahisi wakutatua changamoto zamaisha🪴🌹

Mama akiumwa nakosa raha ni mwaka na nusu tokea nimpoteze Baba yangu nimeingiwa na uwoga nikimuona mama anaumwa Get well soon Mama Mwaheleja. #BestMother
Tutaendelea kukemea viboko vifutwe sababu #SioLazima na vinaumiza. Jumatatu ya Leo kuna mtoto ana hofu ya kwenda shule Kwa sababu ya Viboko vya mwalimu Fulani. Viboko #SioLazima
Women have the power to shape the future of technology. “Let's use our collective knowledge and skills to create a more equitable and inclusive tech industry." Maduhu William Assistant Program Officer-Advocacy
#IWD2023#EmbraceEquity#DigitAll
I will be moderating a session on "Digitalization and emerging technologies as opportunities for women in Tanzania" at @TechWomenTZ
For a community whose 50% of population is women, technology is an effective tool to close the financial and literacy gaps and build the economy.
Kuelekea kilele cha siku ya mwanamke duniani tukumbuke kuwa ukatili wa kijinsia mtandaoni pia unawaathiri jinsia ya kiume! #BeOnline#DigitalRightstz#IWD23#DigitALL
Baadhi ya aina ya barakoa unazoweza kutumia maeneo mbalimbali ili kujikinga na UVIKO19 na la muhimu zaidi wiki hii #UjanjaKuchanja ili u #JikingeNaUVIKO19
Tarehe 7.03.2023 katika ukumbi wa JNICC - jijini Dar es salaaam kutakua na Kongamano la wanawake na teknolojia Tanzania,Litakalo ongozwa na @vanessazbliss ,lengo kubwa la kongamano hili ni kuibua mjadala mpya wa usawa wa ushiriki wa wanawake kwenye teknolojia.
Natafuta wasusi wawili wanao jua kusuka style zooote waje wafanye kazi tutalipana kadiri wanavyosuka
makeup artist mmoja
mtengeneza kucha mmoja
saluni iko Mbagala majimatitu hii ni kwa wanaoishi mbagala #Ajira
Kadri maisha yanavyokuwa na changamoto unazidi kuwa imara na kadri unavyokuwa imara ndivyo maisha yanakuwa mepesi
Exodus 1:12 NIV But the more the Egyptians oppressed them, the more the Israelites multiplied and spread Leo zungumza sentensi tata kwa maadui zako Waambie hivi