@privaldinho @ulamaaaaa Hatuto muacha manara sababu yenu kwani manara akihalibu Simba ww inakuhusu nn unaumia nn uwo ni unafiki tu kuingilia kaazi za watu
@HKigwangalla Kubwa jingaaaaaa ilo hata samatta kasema tusimsikilize uyo tuendelee na yetu majitu kama haya ndio magufuli hayataki mapinga maendeleo pumbavu
@geoffiejeff@lotty_omega@HKigwangalla Nasema Lea tuachie wenyewe huyu sisi hatutajali nafasi yake anachotaka atakipata tu aituingilie muda sio mrefu tunaanza mashambulizi
@HKigwangalla Kaka kwani ww tatizo lako nn acha sisi tupate fulaha tu haitakusaidia kitu unachotaka ww hatukitaki time sio yako iache tu acha unafiki unatafuta kiki kwenye mpila pambana na chadema ss mpila ndio shelehe yetu tatahamia kwako kuwa makini usiludie tumekushimu Leo usituchokoze