@McinikaWaLamar Nzega Tabora Cement 24500 Hutaki Acha Kujenga Muuzaji Habembelezi Tofali 1300 Kila Moja Na Iwe Karibu Ikitoka Nje Ya Mji Inaongezeka 200 Kwa Ajili ya Usafiri
@humbleQueen02 Yaan boda hata umuangalie sana Tayali kawasha piki piki Yuko kama chinga yaan akipita na bidhaa kashika Mkononi ukiangalia Sana anasogea na kuanzia kukutajia bei ๐ ๐ ๐
@kasesco_tz *Kwa kifupi*: Biblia haiachi pengo. Watu wote walitoka kwa Adam na Eva. Kaini alimuoa ndugu yake wa damu kwa sababu ndio walikuwa watu pekee waliopo.
Ni swali gumu lakini mantiki ya Biblia inaeleweka ukiangalia mpangilio wa matukio. Umeipata?