@tazamaMbali Mmmmh mwamba wavuvi wanaenda kuvua na dagaa zinauziwa huko huko katikati ya maji asbh wanakuja tupu usijaribu biashara bila tafiti za kutosha
@Psiteshio1 Bora ujenge kwanza alafu nyumba uchukulie mkopo
Mfano una familia ya watoto 4 kwa mjini hamna hamna lazima upange nyumba ya laki 1 kwa mwezi ila ukiwa kwako unaokoa kiasi kikubwa sna
@TZMsemajiMkuu Ili kukomesha uongo wa vyombo vya habari vya magharibi ingependeza leo leo serikali na wananchi tukafukue eneo husika hii ingesaidia sana kuleta imani kwa wananchi
@nyuki_malkia Wewe ni baba bora kuwahi kutokea kwenye maisha yangu, naamini Mungu amenipa wewe kwa upendeleo kuliko wote chini ya jua
Nakupenda sana baba yangu