@mkemi4mkUu@udsm_icon Waliingia makubaliano 26k wamlete cousin wake pale Ndo maana akachukua 10k na kusema DEAL is a DEAL na hela ilikua 36k kama sikosei
Niliijua hii app mwaka jana, nilianza tena kujifunza na kusoma Quran neno kwa neno Alhamdullilah Nashkuru sasa usomaji wangu umeimarika.
Naomba nawe uitafute ili ikusaidie Ramadhan hii #Muslim ๐
Kama ukifungua account Mpya ya twitter
Wanataka u verify namba zako za Simu kabla ya Yote!
Mimi nilijaribu juzi kati nikashindwa
Na ukiweka namba za TZ hazikubali!
Kwa Tanzania huwezi tengeneza account Mpya kama huna namba za nje ya Tanzania!
Ni majangaaaa wazeee!