War is tearing through Lebanon, but for tens of thousands of African domestic workers, escape is legally impossible under the Kafala system. Beirut-based activist Banchi Yimer, a former Ethiopian domestic worker, shares what abandonment looks like when a country is at war.
Unadhani ni chama gani cha siasa chenye ujasiri wa kweli kusema:
“Kwa hapa kwetu, wanawake hawapewi nafasi — wanachukua nafasi.”
Je, kuna chama kinachothubutu kuwapa wanawake nguvu ya kuongoza, kusikika, na kuamua bila kuomba ruhusa?
Leo kwenye @SiasaZetu, tunamsikiliza Shangwe Ayo kutoka @ACTwazalendo — mwanamke mwenye uzoefu mkubwa kwenye biashara, sasa anayeibeba sauti ya mabadiliko ndani ya siasa.
Tazama mjadala mzima hapa https://t.co/PGDDz5MAxR
Toa maoni yako. Tujadili — siasa ya usawa inawezekana?
#SiasaZetu #WanawakeViongozi #SiasaNiWananchi #SiasaYaMabadiliko
Licha ya vizingiti, wanawake wameendelea kusimama imara wakiwa mstari wa mbele katika mapambano ya mabadiliko, wakiongoza kwa sauti, hekima, na matumaini ya kizazi kipya. Usikose! Kutazama kupitia YouTube yetu sasa ipo hewani . 🚀 https://t.co/9L2Fz8qhcp
#SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo
Wanawake wanatengeneza historia kwa ujasiri, siyo kwa hofu. Kizazi kipya kinaongozwa na sauti zao zenye matumaini na maono.Usikose! Kutazama kupitia YouTube yetu sasa ipo hewani . 🚀 https://t.co/kM01Rpeqkd
#SiasaZetu#SiasaNiWananchi#SiasaNiMaendeleo
Hii ndio hali ambayo wafanyabiashara wetu wako nayo baada ya Serikali ya Malawi kuzuia mazao kuingia nchini kwao. Kuvumilia hili kama Serikali inayohangaika na sekta ya kilimo ni ngumu.
Nafahamu kumekua na maoni mbali mbali lakini naomba niendelee kusisitiza kuwa hadi Jumatano hii inayokuja, kama Serikali za Malawi na Afrika Kusini hazitobadilisha maamuzi na kutufungulia masoko basi na sisi Tanzania tutaendelea na hatua za kusitisha usafirshaji na biashara za bidhaa za kilimo na nchi hizi 2.
Ndio ujinga wa kutojua misingi ya historia. USSR ilisaini Mkataba huo na serikali ya kidemokrasia ya Weimar Republic. Wanazi waliingia madarakani mwaka 1933
Waziri wa Nje wa 🇩🇪 W.Rathenau aliyesainisha Mkataba huo aliuawa na magaidi wa mrengo wa kulia kuhusiana na kitendo hicho
Wanaotunga by laws huko Halmashauri ni madiwani,na wengi wao ni darasa la 7 au kidato cha IV.
WANAHITAJI usaidizi ili kutunga by laws za kuendana na sheria mama.
Mjadala wa Siasa na Mazingira unaendelea YouTube
https://t.co/iCzBESUFtW
#SiasaZetu
Mkanganyiko wa sheria za mazingira umeendelea kuathiri mazingira mfano sheria mama kutoka Nemc na sheria za serikali za mitaa zinatofaufiana, mtu ukikata miti heka 1 faini ni 250,000 huyo yuyo akikata miti heka 10 faini ni ileile!!🙌hizi ndio #SiasaZetu
Maendeleo ya Kweli ni Pale Kila Mwananchi Anapoweza Kumiliki rasilimali za nchi na Kustawi.Episodi ya 12: NAFASI YA MWANANCHI KATIKA SIASA.Usikose! Tazama kupitia YouTube yetu. 🚀 https://t.co/Ydf8x9rUT7
#SiasaZetu#SiasaNiWananchi#SiasaNiMaendeleo
Je, unadhani wananchi wanachagua viongozi kwa misingi ya sera au kwa ushabiki?
Tazama mahojiano ya Episode 12 ya @ZetuSiasa inayohusu nafasi ya mwananchi katika siasa
Bofya link kutazama na utuambie mtazamo nini wako 👉 https://t.co/5snJmVHJrE
#SiasaZetu
Wananchi wanakuchagua kwa matendo yako, wanachama wanakuunga mkono kwa maono yako.Usikose kusikiliza Episodi ya 12: NAFASI YA MWANANCHI KATIKA SIASA. Tazama kupitia YouTube yetu. 🚀 https://t.co/Ydf8x9rUT7
#SiasaZetu#SiasaNiWananchi#SiasaNiMaendeleo