Mwenyezi Mungu aliyetuumba, ameshamkadiria kila mmoja wetu rizki yake tunachofanya ni kupambana kuipata. Ukiwa unapambana na hupati sio rizki yako unajaribu kwingine, ukiona unafikia hatua ya kumkosea aliyekuumba kwa ajili ya kutafuta jambo 1 tuu basi hiyo sio rizki yako. 🙏🏾💔