@Amir_Mgungile@BracuszCadabra Kwahiyo yanga wasubiri miaka 10 au 20? After all mwenendo wao wa sasa sababu ndio huyo huyo gsm, akichomoa mambo yanarudi upya.. na hata hiyo ndoto ya uwanja haitokuwepo, alafu yanga sio team ya kwanza duniani kufanya hivyo kaangalie anfield inaumiliki wa liver pekee?
@Tweener003 Mtu anataka afungiwe kioo cha 16k na ufundi 4k jumla 20k, na hapo kioo quality ni kawaida sana, ss unatoa 16k upate OG, na ndio tabia ya wateja hiyo..
@Tweener003 kioo cha 16k shop kkoo utakuka wanauza 22k labda, frem kkoo inafika 2m inategemea na size ya frem unadhani kupata 2m ni rahisi, cha 2 fundi anakwambia 45 labda kwasababu anajua mteja lazma ulie, na anachukua risk yakuweka kioo ambacho damaege kidogo unarudi mbio
@AmaizingJoe@bohny_chengula Soko huria sio issue mfano dubai, kila taifa utalikuta linafanya biashara but kuna nyanja huwezi kukuta foreigner, hata uraia huwezi pata kma nyanyaโฆ mtu bilionea ila uae kupata urai ni issue. Same kwenye masoko wao wana mfumo wao ambao tunafaidika wote na sio upande mmoja km cc
@INFLUENCERjr Uwanja hauwezi kuhimili big match nahiyo ndio fact, wanajua ukicheza ndani ya week moja mara kadhaa utakuwa ovyo. Mbona amani umebeba match zote za muungano na bado cku ya final ilikuwa safi 2
@Sulphuric_aci17 Ni midblock , anategemea transision, ukicheza lowblock unategemea counter attack, ndio maana mfumo huo unamfaa mudathir kwasababu anapokonya sana mipira na kuanzisha mashambulizi, kuliko damaro ambaye anakata sana umeme kuliko kuanzisha mashambulizi.
@gabyconscious Shida ya mtu akiwa nje ya mfumo ndio hii sasa, ingewezekana asitoke hata na kitu kimoja, mia mbovu asingekuwa nayo kma angeanza from scratch kma sisi watt wa kimaskini. Atulie ashukuru kwa alichokipata asitake kuona kma kizazi cha sasa ni mbumbu.