CCM imeishiwa mbinu zote za kupambana na Chadema
Imetumia polisi
Imetumia media
Imetumia mahakama
Imetumia wenye njaa
Imetumia bunge na serikali
Imetumia viongozi wa dini lakini wapi
Wanafikiri wanadhoofisha Chadema kumbe wanaijenga kwa kukifanya kiwe cha imani mioyoni mwa watz
Ajenda ya TAIFA ni michango ya tone tone kwenda CHADEMA kwaajili ya kuitisha BARAZA KUU.
Sasa wewe leta kiajenda chako ukahisi unaweza kututoa kwenye njia. Waulize Hao VIBAKA waliolipwa kumchafua HECHE kipindi hiki wanavyoacha CHUPI.
Tunapiga SPAKO NA MICHANGO KWA PAMOJA.🔥🙌🏿
“Nguvu ya CHADEMA ni Wananchi.”
CHADEMA haiendeshwi na mfadhili mmoja; inaendeshwa na nguvu ya wananchi. Elfu moja yako, elfu mbili yake, zikikutana zinajenga harakati kubwa.
M-PESA: CHADEMA HQ - 0744446969
CHADEMA NMB: 22606600140
Kwa wafuasi wote wa CHADEMA na mageuzi, wapenda haki, ukweli na demokrasia nchini.
Baada ya Katibu Mkuu wetu, John Mnyika, kutangaza maazimio ya Chama chetu, ikiwa ni pamoja na kikao cha Baraza Kuu kinachotarajiwa kufanyika siku sio nyingi , vilevile alizindua mpango maalumu wa uchangiaji wa fedha kupitia Tone Tone.
Kwa siku kadhaa sasa, kampeni hii imeendelea kwa nguvu kubwa mitandaoni, ikibebwa na viongozi wetu, wanachama, wananchi pamoja na wana harakati mbalimbali. Nawashukuru kwa dhati kabisa wote mlioamua kubeba jukumu hili; kuanzia anayehamasisha michango hadi anayetoa mchango wake. Kila mmoja wenu ni sehemu ya historia inayoandikwa.
Hata hivyo, pamoja na shukrani hizi, kuna ukweli ambao hatupaswi kuogopa kuusema. Wakati mwingine ukweli huwa ni sehemu muhimu ya kujitathmini kama taasisi na kama watu wenye maono ya pamoja.
CHADEMA ni Chama chenye wafuasi wengi kuliko Chama chochote cha siasa nchini. Wakati wa operesheni ya CHADEMA ni Msingi tulikuwa na kanzidata ya wanachama zaidi ya milioni saba. Kwa tafiti na tathmini zetu za sasa, si jambo la kupindukia kusema kuwa wapenzi wa demokrasia, haki na mabadiliko nchini wanafikia au hata kuzidi asilimia 65 ya Watanzania wazima. Kama tunakubaliana na ukweli huo, basi ni lazima tukubaliane pia na wajibu unaoambatana nao.
CHADEMA haipaswi kuwa na upungufu wa fedha za kuendesha shughuli zake. Kama watu milioni moja tu wataamua kuchanga shilingi 1,000 kila mwezi, Chama chetu kitakuwa kinapata zaidi ya shilingi bilioni moja kila mwezi. Katika kampeni hii ya kuhakikisha kikao cha Baraza Kuu kinafanyika, watu laki tano pekee wakichanga shilingi 2,000 kila mmoja, tayari watakuwa wamechangia takribani shilingi bilioni moja kwa Chama chao.
Hii ina maana kuwa changamoto yetu siyo idadi ya watu, bali ni kiwango cha dhamira yetu (commitment) katika kuwekeza kwenye kile tunachokiamini. Ni lazima tujifunze kwamba mapambano ya demokrasia yana gharama zake. Haki ina gharama yake. Mageuzi yana gharama yake. Hakuna taasisi inayoweza kuwa huru kama utegemezi wake unatoka mahali pengine isipokuwa kwa watu wake wenyewe. Vyama vikubwa vya siasa duniani vimejengwa kwa michango midogo lakini ya kudumu kutoka kwa wananchi wanaoviamini. Nasi tunapaswa kujenga utamaduni huo.
Tusifanye uchangiaji kuwa jambo la misimu au la kusubiri vikao maalumu. Uchaguzi wa mwaka 2025 ulipita na Chama chetu hakikushiriki. Hivyo, hatuna ruzuku tunayoitegemea. Tunachokitegemea ni imani, mshikamano na mchango wa wananchi wenyewe. Huo ndio mtaji mkubwa wa CHADEMA.
Ni jambo lisilo na mantiki kusema tuna mamilioni ya wafuasi huku tukishindwa kukusanya fedha za kuendesha shughuli zetu za msingi. Tukitaka kuwa Chama kikubwa, imara na huru, ni lazima tukubali kubeba gharama za ukubwa huo. Tusitarajie wachache wabebe jukumu ambalo mamilioni yetu yanaweza kulifanya kwa wepesi kabisa.
Ni rai yangu kwa kila mwanachama, mfuasi na mpenda mageuzi popote alipo, afanye jukumu hili kuwa sehemu ya maisha yake ya kisiasa. Elfu moja yako inaweza kuonekana ni ndogo, lakini inapoungana na elfu moja za wengine, hujenga taasisi kubwa. Michango yetu midogo ndiyo itakayolinda uhuru wa maamuzi yetu na uimara wa Chama chetu.
Tusichangie kwa sababu tunaombwa kuchangia. Tuchangie kwa sababu tunaamini katika Tanzania yenye haki, demokrasia na utawala wa sheria. Tuchangie kwa sababu tunaamini kuwa mageuzi tunayoyatamani hayawezi kujengwa kwa maneno pekee, bali kwa kujitoa kwetu kwa vitendo.
Your small donation can make a very big change.
Nawashukuru sana kwa upendo wenu, mshikamano wenu na imani yenu katika mapambano haya. Historia ya mageuzi huandikwa na watu wanaoamua kufanya zaidi ya kushangilia. Naamini tutafanya zaidi ya tuliyoyafanya jana.
Mungu akubariki , asanteni kwa wale wote mliochanga na mnaoendelea kuchanga na ni wito wangu kwa kila mtu kujali kwa vitendo jukumu hili muhimu , tena sio mara moja bali kila wakati.
Mange aliwahi kutupa ushahidi namna ABDULI na mamaake walivyoitafuna hii nchi kwa kujenga mijumba ya kifahari.
WAPUMBAVU walinunua TILES za BILIONI 2.4–leo mnatuyumbisha na KIBANDA mnasema nyumba ya HECHE.
CHAWA PAIPU TUNAYOWAPELEKEA HAWAKUWA TAYARI NAYO.😂🙌🏿
Hii nyumba tungemsaidia @HecheJohn kumalizia - wenye uwezo wamnunulie simenti, vigae, tiles nk tumalize
Tusimpe directly pesa wasije wakasema kaiba 🙄 tumpeleke vifaa vya ujenzi ili watokwe na povu zaidi!
Sijui mnaonaje hili wazo?
Yaani kwenye Mjadala nyeti unaohusu UFISADI mkubwa kwenye kuagiza na kusambaza MAFUTA, watu wa Samia wanawaita waandishi wa habari na kuwapa maelezo yasio na kichwa wala miguu, kiongozi wao sijui kwa kuhongwa au kwakutokuelewa anawaambia wenzake eti hakuna maswali na wao wanakubali kubeba vilago vyao na kuondoka kama waumini waliotoka kanisani kupokea injili ya Bwana.
Aisee, nimesikitika sana.
Happy Independence Day, America. 🇺🇸
Fourteen years ago, this beautiful country welcomed me with open arms and gave me a place to call home. It gave me hope, opportunity, and the chance to build a new life.
Tanzania will always have my whole heart. It is the land of my birth, my roots, and the country I will love forever. But America will always own a special piece of my heart, because it embraced me when I needed a home and gave me the privilege of becoming one of its own.
Thank you, America, for welcoming immigrants, believing in our potential, and giving so many of us the opportunity not just to live here, but to truly belong.
Happy Fourth of July! 🇺🇸
Phicha ya 1 &2 ndio siku nimeingia Marekani na mwanangu Kenzo akiwa na miaka 2 baada ya kutenganishwa na baba yake kwa miezi 8 tukisubiria green card. Yes, nilikuja Marekani na green card yangu mkononi.
Photos 3&4 siku 2 kabla sijaondoka Tanzania, nilifanya kisomo na chakula na watoto yatima. Dua ya mtoto yatima ina nguvu mnooo. Ndio maana wale masheikh ubwabwa kutwa kuniombea kifo ila mimi bado nadunda, ni sababu niliondoka nyumbani na dua na visomo vya watoto yatima.
Hii inaitwa watu tuliaga makwetu!!!!!
Dear Tanzania
We will never grow tired of fighting for you. We believe that one day you will be restored, and all your people will once again enjoy the beauty, peace, and dignity of our land.
Until then, we will not give up.
Hii press ya GWAJI BOY ilifungua ndonga za watanzania wengi sana.
DIKTETA JIKE linaisoma namba huko.
Jitu linasema lilichaguliwa kwa asilimia 90 linaapishiwa MBUGANI.
Kila siku watu wanaongelea maandamano.
Miji mikubwa MAGARI YA MAASKARI, WANAJESHI na mabuduki wanazurura zaidi ya mwezi mzima.
Na huu sio mwanzo SAMIA huu ndio utakuwa UTARATIBU wetu kama taifa wewe si CHURA KIZIWI?
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Leo ni siku ya saba tangu Huyu Neema Chozaile akamatwe na Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita.
Tangu amekamatwa mpaka leo hakuna mtu yeyote ambae karuhusiwa kumuona sio Familia, Mawakili wala Viongozi wa CHAMA lakin pia Polisi hawataki kusema yupo kituoni gani.
Kuna msamaria mwema anasema tangu Polisi wamkamate Neema wanafanya kazi ya kuzunguka nae kwenye gari sijui malengo yao ni nini.
Kwa msiomfahamu Neema ni Mwenyekiti wa CHADEMA wa Jimbo la Geita, June 29, 2026 aliaga watoto wake kwamba anaenda Sokoni kununua mahitaji ya nyumban akiwa njiani alivamiwa na Polisi wakamchukua na kuondoka nae.
Neema ni mama, anawatoto wadogo ambao wanamtegemea na kumhitaji Mama yao.
#FreeNeemaChozaile
Serious question, hivi kweli CCM wanaangalia hii hali na bado wanadhani kuna possibility ya wao kuendelea kushikilia nchi bila ridhaa ya Watanzania??
Kweli Kikwete anaangalia hii hali na anaendelea kumdanganga kimama kuwa waendelee tu kung’ang’ania nchi kinguvu??
Mtanzania mwenye akili timamu akiona hii anajua kuwa kama haki isipopatikana haraka basi October 29 ITAJIRUDIA, ITS ONLY A MATTER OF WHEN, NOT IF!!!!!!!!!