Kinachoniumiza zaid hii kesi ya Mbowe ni Jeshi letu la Polisi limeingizwa kwenye upuuzi huu na ccm na kuamua kutumika kwenye kupokonya haki na kuvunja sheria wazi wazi kabisa
Jeshi letu la Polisi limejengwa kwa garama kubwa mno.
#MariaSpaces#Uchafuzi2020
https://t.co/Khy16RDFU5
@lulurobert__ Kwaiyo mtu kama Heche ni jambo la ajabu sana kumiliki vyombo vya moto vinne..!!?!?
Ccm akili zenu bure kabisa ...
Tena akiweza atupe account tumlipie gari jingine ndio aendelee kuwapiga kwenye mshono...
@nguchiro47 Kuzima moto kwa jirani ilhali kwako kunaungua ni ubladfakin.
29Oct ilinitafakarisha sana hawa jamaa wanaolipwa kwa kodi zetu. Yani wasimamia wahuni kutupiga risasi tena mbele ya macho yao.
Kama huna ndugu aliepigwa risasi huwezi nielewa.
Shem on You Jwtz.
Lazima niwalaumu sanaa
@swahilitimes Lazima huyu kakataa kuwasujudia watu flani flani so wameamua kummaliza..!!
Abadan asilan usiwai kuamini report report hizi za hawa wauwaji Polisi ..
Fatilie mtaja niambia ..
Mmiliki wa bastola kubaka na kulawiti mtoto wa kiaka 13 ππππ€£
Mafiii yenu Polisi
@Tweener003 Sasa wewe Mzaramu na vigoma vyote vile utawezea wapi kuwa Padri π€£π€£ππ
Watu Wa Dar wanaishi ishi kama hawana wazazi u ategemea padri atatokaje apo ..!!??
@ikulumawasliano sheria itakapoheshimiwa, na haki za binadamu zitakaporejeshwa.
Hakuna mwekezaji yeyote anayepaswa kuweka pesa zake au maisha ya wafanyakazi wake hatarini chini ya utawala ambao umeonyesha wazi kuwa unaweza kuwaua raia wake mchana kweupe bila adhabu yoyote.
@ikulumawasliano own people with complete impunity.
The blood of the October 2025 victims is still crying out. It will not be silenced by State House lies and propaganda.