@kapeto98 Mi naenda Mara wilaya ya Serengeti kuna bar moja inaitwa Wanyacha, ile ndo mbuga yenyewe sasa, Kuna kila aina ya wanyama kmmk 🙌🙌
Ukimaliza hapo nenda senta moja inaitwa robanda mida ya geoni ..Oyaa 🙌🙌
Nimecheka mpaka nimelia, sijui watu wakienda CCM akili huwa wanaacha wapi. Mwambieni baba Levo Ubunge unataka watu wenye akili timamu. Ushauri wangu bora aendelee kuwa Chawa tu