@fbuyobe Aloyce Dah umenishitua Miaka ya nyuma alikuwa na Pesa nyingi za Madini alipiga pesa nyingi kama B kazaa na Ndio kijana alijulikana Mwanza kwa Jina la Chenge zimeisha Aloyce Makengeza Watu wa Bariadi(Ntuzu)Noma Sana ๐๐๐
Klabu ya ๐จ๐ฉFC Saint-รloi Lupopo imeweka offer ya USD 100,000 sawa 233,363,000tsh kwajili ya kukamilisha uhamisho wa Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania ๐น๐ฟGeorge Mpole , Kiasi cha USD 8000 kinatajwa kama Mshahara .
Shikamoo Kipaji ๐๐พ