Kuna kipindi maisha yalinichapa mpaka nikajua kuwa pugu Kuna watu wanaishi yaani sijuh hata chumba nilipataje nilijikuta naishi pugu.
Sema mazingira ya lile pori la kisarawe niliheal na nilisahau na kusamehe mambo mengi niliyokua nayo moyoni size hunipeleki hata bure.