🎬 Safari ya Kentrell DeSean Gaulden anayejulikana zaidi kama “NBA YoungBoy” (YoungBoy Never Broke Again) alizaliwa mnamo Oktoba 20, 1999 huko Baton Rouge-Louisiana.
Safari yake ya kimaisha na muziki ni ya kipekee,ikijaa changamoto za kifamilia,mashtaka ya kisheria na mafanikio
Kama unaangaika kupata simu original na vifaa vingine original kama vile chaja, ipod, powerbank, n.k.
Waone @OptimalAccStore 👇🏾 utapata kile unahitaji kwa bei inayoendana na ubora wa bidhaa unayohitaji😊