@bacilmusa76 Mimi nadhani MH. raisi @SuluhuSamia ifikie wakati aingilie Kati hapa. Maana hizi issue za mipangilio ya mitihani wizara husika zimelega sana kuikubusha hii bodi na vyuo. Juzi Tu kamati ya kuichunguza imeundwa na MH @ummymwalimu na kutoa mwezi mmoja, Ila mwezi wa tatu unatafutwa
@bacilmusa76 Kuna vijana waliosoma nnje pia. Wamepeleka matokeo yao TCU wakayapitisha Ila MCT wakawakatalia Kwa kusema kwamba matokeo yao ya form six hayakua sahihi kusoma medicine.
Sasa sijui TCU hawakuona Hilo, pia kama TCU wamewapitisha sijui hili Baraza letu Lina majukumu mangapi.
KINDLY HELP THESE YOUNG DRS⬇️
BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA AFYA MHE. UMMY MWALIMU.
cc.Wizara Afya
cc: Medical Council of Tanganyika (MCT)
cc: University of Dar es salaam
cc:Hon. Jakaya Mrisho Kikwete
( Councillor UDSM)
Mheshimiwa Waziri, ..
Sisi ni wanafunzi wahitimu wapatao 69, wa kada ya udaktari wa binadamu (Doctor of medicine) wa chuo kikuu cha Dar es salaam ndaki ya AFYA na SAYANSI SHIRIKISHI Mbeya (UDSM-MCHAS) wa mwaka 2023.
Tunaomba kuwasilisha changamoto yetu kwako;
KUHUSU KUKOSA HAKI YA KUFANYA MTIHANI WA KUJIUNGA NA UTARAJALI (Pre internship examination) unaotarajiwa kufanyika tarehe 11 octoba 2023, siku ya jumatano.
Mhe. Waziri, idadi ya wanafunzi tajwa hapo juu ni Wale tuliofanikiwa kufaulu baada ya kufanya mitihani yetu ya mwisho ya mwaka wa tano, mitihani hiyo ilikamilika wiki ya Kwanza ya mwezi Septemba.
Na baada ya mitihani hiyo chuo kilituahidi kuwa kitatuma majina kwenda MCT kwa wakati ili tuweze kufanya maombi ya kufanya mtihani, na hata kama watachelewa kuendana na ratiba ya dirisha la maombi kuwa wazi, basi wangeomba "special request" ili tupate nafasi ya kuomba na kufanya mitihani katika tarehe tajwa.
Mhe. Waziri, tunasikitika kwamba hadi leo tarehe 07 octoba 2023 ikiwa ni siku nne (4) zimesalia kabla ya mtihani huo bado hatuna uwezo wa kufanya maombi ya kufanya mitihani hiyo, hii ikiwa na maana kuwa majina yetu hayajaingizwa ktk mfumo wa Baraza la madaktari.
Na sisi tumekuwa ktk maandalizi ya mitihani tangu tulivyohitimu masomo yetu mwezi Septemba 2023.
Pamoja na changamoto, hadi leo Hakuna taarifa rasmi ya chuo kutujulisha ni sababu zipi haswa zimepelekea changamoto hii.
Mhe. Waziri; tunavopoteza nafasi haki yetu ya kufanya mtihani huu ktk awamu hii ya mwezi octoba 2023.,..
Tutatakiwa kukaa nyumbani kusubiri awamu nyingine ambayo kikawaida huwa ni mwezi machi ndipo mitihani hii itafanyika tena, ambayo ni takribani miezi Saba (7) tangu tuhitimu masomo.
Suala hili Lina athari nyingi sana, ..
* Kusubiri mitihani kwa takribani miezi Saba inaweza kuathiri ufaulu wetu kwani muda huo wa kusubiri ni mrefu mno.
*Pia, hii inathiri ratiba zetu ikiwemo kujiunga na mafunzo ya UTARAJALI kwa wakati na kupata leseni ya UDAKTARI na baadae kutumikia taifa letu.
* Hii pia ina athari pia ktk suala zima la kujiendeleza kielimu kwani tunatamani tujiunge na mafunzo haya ya UTARAJALI kwa wakati ili tuwe na nafasi pia kuendelea na ndoto zetu nyingine za kielimu.
Mheshimiwa Waziri UMMY MWALIMU tunashukuru sana na tuna Imani na matumaini makubwa na utendaji wako, hivo tuna matarajio kuwa changamoto yetu itapatiwa ufumbuzi kwa wakati.
Ahsante.
Wako,
Wahitimu wa udaktari-2023 chuo kikuu cha Dar es salaam (ndaki ya Mbeya).
(Idadi yetu ni 69)🙏
@ummymwalimu@association_mat@WizaraYaAfya@UdsmOfficial@kalegamyeh@drmlalukoMD
#JFSPACES: Je, una Maoni/Ushauri kuhusu Jambo au Utaratibu unaotamani ubadilike katika kuboresha Sekta ya Afya Nchini?
-
Usikose kujiunga nasi katika Mjadala wa Mapendekezo kwa Wizara ya #Afya Alhamisi ya Julai 13, 2023, kuanzia Saa 12 Jioni hadi Saa 2 Usiku, kupitia #TwitterSpace ya #JamiiForums
-
#Afya #PublicHealth #ServiceDelivery #JFHuduma #Governance
@JamiiForums Kuna hii kitu inajiita post internship examinations inayoandaliwa na @medical council of Tanganyika.
👉 Smart Doctors wengi wanaishia mtaani demotivated.
👉 Dakitari ameandaliwa 5-6yrs, dakitari amefanya kazi kwa uangalizi mwaka mzima na kua recommended ila anaishia kitaa
@Eric__Bernard@babalao__@ummymwalimu Kuna hii kitu inajiita post internship examinations 👉 Smart Doctors wengi wanaishia mtaani demotivated
👉 Dakitari ameandaliwa 5-6yrs, dakitari amefanya kazi kwa uangalizi mwaka mzima na kua recommended ila anaishia kitaa @ummymwalimu vijana wamekutumia barua nyingi, wasidie.
@mshambuliaji Kuna hii kitu inajiita post internship examinations 👉 Smart Doctors wengi wanaishia mtaani demotivated
👉 Dakitari ameandaliwa 5-6yrs, dakitari amefanya kazi kwa uangalizi mwaka mzima na kua recommended ila anaishia kitaa @ummymwalimu vijana wamekutumia barua nyingi, wasidie.
@rollymsouth Kuna hii kitu inajiita post internship examinations 👉 Smart Doctors wengi wanaishia mtaani demotivated
👉 Dakitari ameandaliwa 5-6yrs, dakitari amefanya kazi kwa uangalizi mwaka mzima na kua recommended ila anaishia kitaa @ummymwalimu vijana wamekutumia barua nyingi, wasidie.
@iHumphreyz Kuna hii kitu inajiita post internship examinations 👉 Smart Doctors wengi wanaishia mtaani demotivated
👉 Dakitari ameandaliwa 5-6yrs, dakitari amefanya kazi kwa uangalizi mwaka mzima na kua recommended ila anaishia kitaa @ummymwalimu vijana wamekutumia barua nyingi, wasidie.
@babalao__ Kuna hii kitu inajiita post internship examinations 👉 Smart Doctors wengi wanaishia mtaani demotivated
👉 Dakitari ameandaliwa 5-6yrs, dakitari amefanya kazi kwa uangalizi mwaka mzima na kua recommended ila anaishia kitaa @ummymwalimu vijana wamekutumia barua nyingi, wasidie.
@millardayo Kuna hii kitu inajiita post internship examinations 👉 Smart Doctors wengi wanaishia mtaani demotivated
👉 Dakitari ameandaliwa 5-6yrs, dakitari amefanya kazi kwa uangalizi mwaka mzima na kua recommended ila anaishia kitaa @ummymwalimu vijana wamekutumia barua nyingi, wasidie.
@CAFCLCC Kuna hii kitu inajiita post internship examinations 👉 Smart Doctors wengi wanaishia mtaani demotivated
👉 Dakitari ameandaliwa 5-6yrs, dakitari amefanya kazi kwa uangalizi mwaka mzima na kua recommended ila anaishia kitaa @ummymwalimu vijana wamekutumia barua nyingi, wasidie.
@master_plan88 Wazee, kuna huu mtihani wa post internship; wasaidieni vijana wenu kupaza sauti. Madakitari wanawekwa mitaani zaidi ya mwaka kuusubiri mtihani, Madakitari wanawekwa mtaani bila practice, vijana wanapoteza motivation, tunakoelekea ni kuja kupata madakitari waliojazwa nadharia zaid
@babalao__ Kuna hii kitu inajiita post internship examinations 👉 Smart Doctors wengi wanaishia mtaani demotivated
👉 Dakitari ameandaliwa 5-6yrs, dakitari amefanya kazi kwa uangalizi mwaka mzima na kua recommended ila anaishia kitaa @ummymwalimu vijana wamekutumia barua nyingi, wasidie.
@SuluhuSamia Kuna hii kitu inajiita post internship examinations 👉 Smart Doctors wengi wanaishia mtaani demotivated