Tumezaliwa ktk maisha haya na kuaminishwa ya Kuwa,
-Nguvu za asili sio kitu kwetu bali ni ushirikina
na ndio maana tunashindwa kutumia Nguvu za asili ktk
-Biashara zetu kama wewe unafanya biashara
-Ujasiliamali wetu kama wewe ni mjasiliamali
Kwa hiyo Ni aina ya bidhaa watu wamezipenda Kwa sababu pia zimegusa maisha ya watu ktk nyanja tofauti na Zaidi ya 4
Kwa hiyo kwako mjasiliamali na mfanyabiashara usiwe na Jina tuu kama Jina ama Jina tuu la bidhaa flani
Bali kuwa na Jina linalobeba na kuvutia Kwa urahisi
Ukiangalia Jina kama "iPhone" ukijumlisha herufi utapata Namba 4
Kwa hiyo ndiyo maana Jina kama "iPhone" watu wote duniani wanapenda kuwa na bidhaa za iPhone Kwa nn wapende sasa Kwa sababu,
-Ktk Ramani ya Dunia kuna pande 4 na bidhaa za iPhone zimegusa maisha ya watu.

@Mwinshehe07 Kwangu nitawapa millioni 7.5 Mke na watoto wake wawili nyingine nabaki nayo kama Baraka na hela ya kuniamini Kwa kunikabidhi hela mingi yote hiyo
I don't know why many people's disagree with me about astrology and how it's applied in our entire life.
Sifahamu Kwa nini watu wanakataa na hawakubaliana na mimi ya kuwa unajimu na Namna hii Elimu ya unajimu inayotumiwa ktk maisha yetu yote na ya kila siku
Huwa sielewagi Kwa Nini Sisi binadamu huwa tupo tayari kuchagia pesa tasilimu Hadi pesa tasilimu tsh millioni 5 Kwa Ajili ya shughuli ya Mazishi ya ndugu zetu ila kumpa Mtu hela ya mtaji Wa pesa tasilimu tena tsh milioni 5 huwa tunakuwa wagumu.