Kuianza week hii NGUMU bila kumuombea MWENYEKITI aliesimama na wananchi kwenye #NoReformNoElection ni UONGO.
Naomba MAOMBI YETU kwa Mwenyekiti huko aliko akawe mwenye Amani ya moyo na AFYA NJEMA AMEN. #FreeTunduLissu
Wote tu Reply AMEN.
REPOST 400🔥🔥
Anayeteshia kwa maneno kwa kusema kuwa 'atakinukisha', na mtu anayewapiga mabomu watu wanaomsikiliza mtu anayesema kuwa 'atakinukisha'; je, ni nani kati ya hao wawili anayevuruga amani katika nchi? Unafikiri kwa nini?
NEMO DAT QUOD NON HABET. Maana yake huwezi kutoa usicho nacho. Mdimu hauwezi kuzaa embe wala mama-yoka hawezi kuzaa kuku, ingawaje mayai anataga. Asiye na maadili hawezi kusimamia maadili ya wengine. Taasisi zilizooza haziwezi kusimamia lolote la afya kwani uoza kuzaa mafunza.
Kama kupinga mifumo kandamizi na udhalimu wa MaCCM ndiyo uhaini, nafikiri wahaini ni wengi sana. Kupinga uporaji wa mchakato wa uchaguzi siyo uhaini. Kukataa utekaji siyo uhaini. Kutowaunga mkono mafisadi na wabadhirifu wa mali za umma siyo uhaini. Wahaini ni mbogamboga.
HATUWEZI KUIANZA HII SIKU BILA KUWA NA SALA MAALUMU YA KUMUOMBEA MWENYEKITI ALIEAMUA KUSIMAMA UPANDE WA WANANCHI #NoReformsNoElection
NAOMBA WOTE TU COMMENT AMEN. MUDA WA KUONYESHA UMOJA WETU KIPINDI HIKI KIGUMU KWAKE NA FAMILIA YAKE.
#FreeTunduLissu
REPOST 400 🔥🔥🔥