Taifa likiwa na watu wa aina ya Mh Peter Madeleka Wakili Msomi hakika Uonezi utaondoka ktk taifa hutuba bora sana lazima nchi irudi ktk misingi https://t.co/64qO1jT585
"Tunamtaka Waziri Elimu, Prof Mkenda kutoa maelezo hadharani kuhusu hatua ambazo Serikali imechukua kuhakikisha kuwa matukio ya kuwakamata wahadhiri bila kuzingatia taratibu yanafikia mwisho na kwamba uhuru wa taaluma unalindwa."
Waziri Kivuli wa Elimu wa @ACTwazalendo@rizikishahari
#TaifaLaWote #MaslahiYaWote
"Misafara ya viongozi wa serikali ndani na nje ya nchi imekuwa mikubwa mno. Mathalani mwaka huu 2026/27 serikali imepanga kutumia zaidi trilioni 1.3 kwa safari za viongozi."
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa @ACTwazalendo
Luhaga Mpina
#NaSasa2026Tena#UchambuziWaBajeti
"Bei ya mafuta imeshuka katika soko la dunia kutoka Dola 112.9 kwa pipa moja hadi kufikia Dola 87.3 takriban imeshuka kwa 22% lakini hatuoni bei zikishuka kwa kiwango hicho hapa nchini."
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa @ACTwazalendo
Luhaga Mpina
#NaSasa2026Tena#UchambuziWaBajeti
Kesho Septemba 01, 2025 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kwa tiketi ya @ACTwazalendo, Ndugu Luhaga Mpina atazungumza na vyombo vya habari.
Mahala: Jengo la Maalim Seif Magomeni DSM
Muda: 5:00 Asubuhi
Oktoba #LindaKura#MuhuniHasusiwi@ActWazalendo
Leo MAPEMA SANA, Msimamizi wa Uchaguzi Kata ya KIGOMA, AMENITEUA kuwa mgombea UDIWANI kata ya kigoma kupitia Chama Cha ACT WAZALENDO. Twendeni tukapige kura,Twendeni tukachague Zitto kabwe na Kalyango, tarehe 29 Oktoba 2025.
#ChaguaKalyango2025#ChaguaZittokabwe2025
HONGERA Mwami Zitto kabwe kuchaguliwa na wajumbe kuwa Mgombea Ubunge jimbo la kigoma Mjini.Umeacha”Legacy"yenye tija Kigoma na taifa siyo jambo jepesi ila umefanya ktk Uongozi wako wenye maono(vision)na maarifa, ari (passion)ushawishi wako kuisemea kutetea Maendeleo ya kigoma.
HONGERA DADA KIZA MAYEYE kwa kuchaguliwa kwa kura nyingi za wajumbe kuwa Mgombea Ubunge jimbo la kigoma Kaskazini. KigomaMpya, FikraMpya, MtazamaoMpya na Majwabu Mapya twendeni na Kiza mayeye kigoma kaskazini kwa maendeleo yetu.
#OktobaLindakura#MuhuniHasusiwi@Actwazalendo
Ndg.Luhaga Joelson Mpina
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TANZANIA kupitia @ACTwazalendo mwaka 2025-2030.Kama kuna kosa la Uhaini basi ingekuwa ni Ndugu Luhaga Mpina asingefanya Maamuzi ya kutoka Inje ya CCM ili kuwatumikia watanzania ni Maamuzi Sahihi Muda sahihi na Chama sahihi.
“Tunao uhakika wa ushindi wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania” FatumaFereji.
Mamlaka yanayotokana na wizi wa kura hayatoki kwa Mungu isipokuwa kwa Ibilisi.
Oktoba #Lindakura#MuhuniHasusiwi@ActWazalendo
“Misingi ya kuundwa kwa chama chetu ni kuwatetea wanyonge. Ukaribu na wananchi ndiyo salama yetu ya Chama Taifa la Wote Maslahi ya Wote, Act wazalendo Taifa kwanza Leo na kesho”
Tunaomba Mtuunge Mkono !..
Oktoba #Lindakura#MuhuniHasusiwi@ActWazalendo