@joharimshana Kimataifa no inayoanza na 176 ni maalum kwa shirika la ndege la Emirates, tiketi za KLM inaanza na 074. Haiwezekani tiketi ya KLM ianze na kodi ya Emirates
@Roma_Mkatoliki Gavoo inatumia mbinu ya "Kupigana kwa kutumia mikono ya adui" (Fighting through proxies). Inawafanya wananchi kuwa silaha dhidi ya wananchi wenzao, huku yenyewe ikibaki kuwa mtazamaji salama anayefaidika na machafuko hayo.