MWANZA: MGAMBO WALIOWAPORA MACHINGA NDIZI WASIMAMISHWA
Halmashauri ya Jiji la #Mwanza imelaani kitendo cha Mgambo kuchukua ndizi za Machinga katika Oparesheni ya kuwaondoa
Imewasimamisha waliohusika na wameomba radhi
Soma > https://t.co/sAfGZmf66p
#JamiiForums#HumanRights
@_GiftMaxwell_ @iAmLyimo Hiyo ni pilot boat kazi yake kubwa ni kuogongoza meli zilizobeba mizigo, au meli kubwa za abiria kuingia bandarini kwa ajili ya kuhakikisha usalama wa njia ya bandari.
REGISTER NOW:
The Virtual 2021 #Health and Humanitarian Logistics Conference 2021 will be held in London from 20-22 September.
You will see experts, innovators, and boundary-breaking pioneers from the supply chain & #logistics world.
Register here: https://t.co/ylqy1Byk4y
Hizo #TOZO Zingekuwa ni kwa ajili ya kujilipia #BIMA ya Afya. Tungekuwa tume-WIN Matamanio ya Wananchi wengi sana. Kila mwananchi angekuwa na Bima ya Afya kwa lazima. Matibabu yana gharama sana. #HealthInsurance#HealthCare#TozoKwaBimayaAfya
Mara nyingi tunasheherekea wiki ya Ubunifu kwa maneno bila kuwapa nafasi wenye uwezo wa kubuni kwa mawazo na vitendo. Labda neno #InnovationWeek2021 haina maana halisi ya #WikiyaUbunifu2021 tuwasapoti walioanza kufikia malengo. @VodacomTanzania @HDIFtz @CRDBBankPlc