Yani mwanamke ukishindana kuchiti na mwanaume ๐Jamii inakuona kama Malaya uliekosa maadili ๐ila Kwa mwanaume anaonekana lijali a utaambiwa ndivyo walivyo ,dunia haipo fea kabisa ๐๐๐ผ
Ukiwa na shida ukienda kwa mtumishi wa Mungu huulizi utahudumiwa na nani, ila ukipata pesa, kutoa sadaka unahoji kwamba unampa nani Kwani ulipoombewa uliombewa nani?
Kama uliombewa na mtu, ukaponywa na Mungu, basi utatoa sadaka kwa mtu zitapokelewa kwa Mungu
๐ ๐ช๐๐ ๐๐ ๏ฟฝ๏ฟฝ๏ฟฝ๐๐จ๐ง๐๐๐ ๐จ๐ง๐๐ก๐๐ฆ
Huyu BIG baada ya kuona kipa wa AL MASRY anazingua na kupoteza muda akaruka toka jukwaani akaingia uwanjani akampige walau makofi mawili ila bahati mzuri walinzi wakamuwahi๐
Watu tuko serious na SimbaSc yetu๐ฆ
Unaambiwa huyu Mourice Abraham akishika mpira Yuko katikati ya uwanja na nyavu zinaanza kutingishika kwa hofu na woga wa mashuti ya kuchana nyavu
mazoezi yake anasukuma treni ya mwendo Kasi mpaka inawaka na speed yake ni kama umeme yaani shwaaa,
Yuko mazoezini na Simba ni mbadii
๐ช๐๐ฌ๐ก๐ ๐ฆ๐๐ก๐๐๐๐๐ก๐๐ฆ๐งค๐ฟ๐ฆ๐ฆ
Nyuma ya ๐ฌ๐๐๐๐๐บ ๐ข๐บ๐๐บ๐๐บ๐ฌ๐ณ kuna huyu kocha wa magolikipa ๐ถ๐บ๐๐๐พ ๐ฒ๐บ๐๐ฝ๐๐ ๐ ๐บ๐๐ฝ๐๐ฟ๐ฆ mlinda mlango wa zamani wa ๐ฎ๐๐ ๐บ๐๐ฝ๐-๐ฏ๐๐๐บ๐๐พ๐โ ๏ธ
๐๐ข๐ฆ๐๐ ๐๐ฎ๐ฆ๐๐ค๐๐ฆ๐ข๐ฅ๐ข๐ค๐ ๐ค๐ข๐ฅ๐ ๐ข๐๐๐ซ๐๐ฅ
#WenyeNchi
๐๏ธ โHIKI kilichotokea kinamaanisha kwamba Simba ili uwape shida labda uwafunge kuanzia mabao matatu au zaidi, wanapokuwa nyumbani wana nguvu kubwa ya mashabiki kutengeneza matokeo wanayoyataka,โ
โ Anis Boujelbene, Kocha wa Al Masry
Manchester Unitedโs owner Sir Ratcliffe receives Yanga Jersey from Club President Engineer Hersi.
Timu Kubwa know the importance of partnering with big clubs
@soka25east
Katika hatua ambayo Tume โHURUโ ya Uchaguzi haijatangaza hata calendar ya Uchaguzi kwa maana ya tarehe ya Uchaguzi au tarehe za Kuanza kuchukua Fomu za Ugombea na Tarehe za Kampeni, unawezaje kutangaza kuwa zoezi la Kusign so called Kanuni za Maadili ni Deal Breaker kwa Haki ya Vyama kushiriki Uchaguzi. Haki ambayo iko Guarantee na Katiba na Sheria inayoanzisha Vyama? #TumeIacheMihemko @ACTwazalendo@TumeUchaguziTZ