Demise ya huyo ambitious champ inafanya ujiulize maswali mob kuhusu this life. Yaani masaa future imekuwa bright ndo the unexpected inahappen. Condolences to the family and nursing fraternity during this trying times
Fununu zinasema ukiweka aeriel iangalie ile pande ya Kilimani na kileleshwa unawesa jipata unaghula mali ya kutoka kule kwa kim jong un,almaarufu Asian dolls. Mtuambie hii ni mitambo namba ngapi tuweke iyo station pia bwana