@mackphason Hatuangalii wameua watu wangapi tunaangalia malengo yao wamefankisha? Jibu ni hapana hawajafanikisha lengo hata moja ikiwepo Regime change na kuharibu Uranium ya Iran yote wamefeli na wameingia kwenye mfumo wa Iran sahivi wamekubaliana na masharti ya Iran